Mtaa Kwa Mtaa Blog

Mchekeshaji Eric Omondi wa Kenya kaja na "How To Be Magufuli", icheki video yake hapa

Msanii wa vichekesho kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ametoka na kichekesho chake kingine baada ya vile vya "How to Be Diamond Platnumz, Akothee", sasa amekuja na hii aliyotoa sifa tano kwa yeyote anaetaka kuwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli "How To Be Magufuli".  Unaweza kuicheki video yake hiyo video hapa chini.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget