HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 4, 2016

MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA UDOM.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa  Baraza  la Chuo Kikuu cha Dodoma  (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma  Oktoba 3, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad