

Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko kutoka Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Waziri Ramadhani akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wanachama wa Namaingo Business Agency kwenye uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam.


Wanachama wa Kampuni ya Ushauri Kibiashara ya Namaingo Business Agency wakimsikiliza Ofisa Mafunzo wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam..
No comments:
Post a Comment