Meneja
masoko Huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania, Noel Mazoya (katikati)
akiwaonyesha waandishi wa habari namba ya mshindi wa droo
ya promosheni ya Jiongeza na M-Pawa wakati wa hafla ya kuchezesha
droo ya pili ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo ambapo mkazi
wa Arusha Isaack Pilemon alijishindia kitita cha shilingi Milioni 20.
Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Meneja wa Huduma za M-pawa wa beki ya
CBA Eric Luyangi na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini
Bakari Maggid. Hadi sasa washindi 2,800 wameongezea mara mbili ya
akiba zao za M-Pawa washindi 14 wameshinda milioni 1 kila mmoja na
washindi 2 wamejishindia milioni 20 mshindi wa jumla washilingi milioni
100 atapatika mwezi wa kumi.
Meneja masoko Huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania, Noel Mazoya (katikati) akiongea na mmoja wa mshindi wa droo ya promosheni ya Jiongeza na M-Pawa wakati wa hafla ya kuchezesha droo ya pili ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo ambapo mkazi wa Arusha Isaack Pilemon alijishindia kitita cha shilingi Milioni 20. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Meneja wa Huduma za M-pawa wa beki ya CBA Eric Luyangi na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini Bakari Maggid.
No comments:
Post a Comment