Mtaa Kwa Mtaa Blog

MASHINDANO YA GOFU YA MKUU WA MAJESHI KUDHAMINIWA NA NMB.

 Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa  na Mwenyekiti wa Mashindano ya Gofu Lugalo, Brigedia Jenerali, Michael Luwongo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 40 kwaajili ya kudhamini mashindano ya mkuu wa majeshi yatakayofanyika Septemba 24 jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 40 Mwenyekiti wa Mashindano ya Gofu Lugalo, Brigedia Jenerali, Michael Luwongo kwaajili ya kudhamini Mashindano ya Kikombe cha Mkuu wa Majeshi yatakayofanyika Septemba 24 mwaka huu katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa akizungumza wakati wa kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 40 kwaajili ya Kudhamini mashindano ya kikombe cha Mkuu wa Majeshi cha  mchezo wa gofu kwaajili ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Jeshi  katika Mchezo wa Gofu kwa klabu ya Mchezo huo Jeshini hapo jijini Dar es Salaam leo katika viwanja vya mchezo wa Gofu Lugalo. Kulia ni Mwenyekiti wa Mashindano ya Gofu Lugalo, Brigedia Jenerali, Michael Luwongo.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget