HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 29, 2016

KAMANDA MPINGA AKISHILIKI MASHINDANO YA BAISKERI GEITA

Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga akizindua mashindano ya baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala yaliofanyika jana katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama wilaya ya Geita mjini mkoani Geita
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga akizungumza na washiriki wa mashindano ya baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala yaliofanyika siku ya jana katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yaliofanyika katika wilaya ya Geita mjini mkoani Geita.
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga aliepakiwa na kuonyesha ukaaji salama katika usafiri wa baiskeri unaotumika kama chombo cha usafiri mkoani Geita ndani ya viwanja vya Ccm Karangalala katika siku ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yanayoendelea katika wilaya ya Geita mjini mkoani Geita. (Picha na Trafiki kuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad