HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 29, 2016

Hospitali ya taifa ya Muhimbili yaendesha semina ya Kuimarisha Utoaji Huduma.

 Dk Hassan Mtani akitoa mada kuhusu kifafa cha mimba katika mkutano uliofanyika Leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
 Mtoa Mada, Martha Mkony akizungumzia vifo vya watoto na jinsi ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya muda na njia ya kuzuia vifo kwa watoto hao.
 Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada hiyo Leo katika hospitali hiyo.
 Dk Arvinder Singh akizungumzia umuhimu wa kununua vifaa tiba, kuwapo kwa madaktari na wauguzi wa kutosha, kuwapo kwa gesi ya uhakika, chumba cha kisasa cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu na madaktari na wauguzi kutoa huduma kwa wakati kwa watoto hao.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwamo madaktari na wauguzi wakifuatilia mada kwenye semina hiyo.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad