Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kutembelea soko jipya la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya, Agosti 9, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agost9, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agosti 9, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya nje ya Soko la Mwanjelwa mara baada ya kulitembelea leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiagana na viongozi wa serikali kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya kurejea Dar es salaam Agosti 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe na wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zelote Stephene.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:
Post a Comment