Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyeatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment