HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 21, 2016

Waliosoma Shule ya Sekondari Uyui kati ya Mwaka 1980-82 wakutana Jijini Dar

Umoja wa wanafunzi wazaliwa na waliosoma na kumaliza kidato cha nne kati ya mwaka 1980-82 katika Shule ya Sekondari Uyui iliyoko Mkoani Tabora, wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipofanya sherehe ikiwa ni ishara ya kufurahia kukutana ambapo iliandamana na mkutano wao rasmi wa kwanza baada ya kuanzishwa umoja huo jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad