HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 8, 2016

SHUKRANI

Familia ya Marehemu Lt Col Anslem Paza Mboya (mstaafu) inapenda kutoa shukrani za dhati kwa ndugu jamaa majirani na marafiki waliotufariji katika kipindi Kigumu cha msiba wa mpendwa wetu Marehemu Lt Col Anslem Paza Mboya (mstaafu) uliotokea tarehe 3/8/16 na kuzikwa tarehe 5/8/16 mjini Morogoro.

Kipekee tunatoa shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu, madaktari wa Hospitali ya Tumaini, hospital ya SUA, Jeshi la wananchi JWTZ Makao Makuu, SMH Pangawe, Wachungaji na watumishi wote tulioshirikiana nao

Tuungane pamoja kwa kusema " Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele"

1Nyak16:34

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad