HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 24, 2016

MUHOGO WA KUCHOMA

Baadhi ya wakazi wa mtaa wa soko kuu mjini Mbinga mkoani Ruvuma wakinunua muhogo wa kuchoma ambao ulikuwa unauzwa kipande kimoja shilingi 200 kama walivyokutwa na mpiga picha wetu hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad