HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 29, 2016

MTANANGE KUTOKA MCHANGANI....

 Hachomoki Mtu hapoo..
 Mtanange ukifuatiliwa kwa kinaaa.
 Kipozaa koo Kikiwa kimeshikwa na mwanadada kuajili ya wachezaji kutokana na Vumbi dogo la Uwanja wa Wenye kuwezea..
 Mtanange ukiendelea..
 Vumbi likiminywa na miguu ya wenyewe wenye uwanja..
 Tayari kalizwa huyoo mdogo mdogo akichomoka uwanjani...
Baada ya Mchezo kuisha walio faidika ni Wenye Vibanda Umiza Vya Maziwa Freshi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad