Mshindi wa Promosheni ya Bia ya Asili ya Nzagamba inayowawezesha wanywaji wa Bia hiyo kujishindia Ng'ombe kila wiki kwa mkoa wa Mwanza, Juma John (kushoto) mkazi wa Kisesa Mkoani humo akipokea zawadi yake ya Ng'ombe Dume la Nzagamba kutoka kwa Mkuu Kiwanda cha Nzagamba Jijini Mwanza, Herbat Kilembo (kulia) mara baada ya kuibuka Mshindi kwa wiki ya kwanza ya Promoseni hiyo. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Bia ya Asili ya Nzagamba, Oscar Shelukindo (mwenye Miwani) pamoja na Meneja Mauzo wa Bia ya Asili ya Nzagamba, Fred Kazindogo.
Mshindi wa Promosheni ya Bia ya Asili ya Nzagamba inayowawezesha
wanywaji wa Bia hiyo kujishindia Ng'ombe kila wiki kwa mkoa wa Mwanza,
Juma John akikabidhiwa zawadi yake ya Ng'ombe mbele ya halaiki wa wakazi wa jiji la Mwanza.
Watumiaji wa kinywaji cha Nzagamba mkoani Mwanza kwenye eneo la Igoma wakifuatilia shindano la kumtafuta mshindi wa Dume la Ng'ombe "Nzagamba" linaloendeshwa na kinywaji cha Nzagamba kwenye mikoa ya kanda ya ziwa.
Karatasi za bahati nasibu zikichanganywa.
Mmoja wa Wakazi wa Mji wa Igoma akiwa amefungwa kitambaa usoni tayari kwa kwenda kumtafuta mshindi wa Ng'ombe.
Ругулярное обновление на нашем сайте позволит тебе следовать за крутыми молодежными пополенениями нашего магазина, найти то, что вам нужно и всегда оставаться в курсе последних тенденций моды. У нас ты обнаружишь классные клевые сумлочки из настоящей кожи разнообразных расцветок , черных и белых. На сайте сумка луи виттон еще вы сможете выбрать сумочку индивидуального формата или повседневную, шопперы на коже или цепии еще приобрести сумку из натуральной кожи для деловых или романтических встреч.
ReplyDelete