Katibu Mkuu Wizara ya kilimo mifugo na Uvuvi anayeshuhulikia Mifugo Dkt. Maria Mashingo (Katikati) akikagua moja ya kati ya Ngombe 42 wa Maziwa waliotolewa kwa wafugaji wa wadogo wa Kibaha Picha ya Ndege na Kibaha Mkuza Mkoa wa Pwani, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka Covenant Bank wana uwezo wa kutoa Maziwa zaidi ya rita 25 kwa siku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank Sabetha Mwambenja (kulia). Na Mwenyekiti wa Kikundi cha Wafugaji Picha ya Ndege Anna Rose Ndashau.
Katibu Mkuu Wizara ya kilimo mifugo na Uvuvi anayeshuhulikia Mifugo Dkt. Maria Mashingo, akipatiwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja kabla
ya kukabidhi Ng’ombe bora 42 wa maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kibaha
Picha ya Ndege na Kibaha Mkuza Mkoa wa Pwani, Ng’ombe hao wamenunuliwa
kwa Mkopo kutoka Covenant Bank wana uwezo wa kutoa Maziwa zaidi ya rita
25 kwa siku.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank, Balozi Salome Sijaona, akitoa
maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya kilimo mifugo na Uvuvi anayeshuhulikia
Mifugo Dkt. Maria Mashingo,( mwenye suti nyeusi) kabla ya kukabidhi
Ng’ombe bora 42 wa maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kibaha Picha ya Ndege
na Kibaha Mkuza Mkoa wa Pwani, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka
Covenant Bank wana uwezo wa kutoa Maziwa zaidi ya rita 25 kwa
siku.Pamoja nao ni Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank Sabetha
Mwambenja.
No comments:
Post a Comment