HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 6, 2016

UBUNIFU ULIOTUKUKA: Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe yaunda CHOPA ya kwanza tanzania

 Hata mbuyu ulianza kama uyoga. Na Bw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe  amedhihirisha hilo kwa kuunda helikopta inayotumia injini ya gari ambayo anasema anatarajia kuirusha siku Mwenge wa Uhuru utapofika mjini hapo. Picha za ubunifu huu zimesambaa kwenye mitandao ya jamii ila cha ajabu hakuna mamlaka iliyoshituka.
 Bw. Adam akipongezwa kwa ubunifu wake ambao mamlaka husika zinaombwa kwenda na kuangalia namna ya kutumia kipaji hiki cha aina yake kwa maendeleo ya Taifa
 Wananchi wakiishanga helikopta ya Adam Auto Garage mjini Tunduma
 Bw. Adam na timu yake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad