FAMILIA YA CLEMENT FRASER NTUKULA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO PETER SURVEYOR NTUKULA, KILICHOTOKEA TAREHE 07/07/2016 KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN, DAR ES SALAAM.
MAZISHI YATAFANYIKA TAREHE 13/07/2016, KATIKA MAKABURI YA ANGLIKAN /LUTIHINDA - BUGURUNI.
MISA YA KUMUAGA MAREHEMU ITAKUWA TAREHE 13/7/2016 KATIKA KANISA LA ANGLIKAN KAWE, SAA SITA MCHANA.
No comments:
Post a Comment