Waziri Ummy Mwalimu akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Tanzania Dkt.Rufaro Chatora Dkt.Chatora amesisitiza wizara kujenga uwezo wa ndani katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu kwa kushirikiana na wizara ya maji, mazingira pamoja na elimu.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Tanzania Dkt.Rufaro
Chatora akiongea na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu wakati alipoenda kumuaga rasmi ofisini kwake
Dkt.Chatora amemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Tanzania na hivyo
kuhamishiwa nchini Afrika ya Kusini
Vile vile alishauri Serikali kuongeza nguvu katika huduma ya mama wajawazito pamoja na kuwekeza katika magonjwa yasiyo ya kuambukiza ambayo hivi sasa yanaongezeka kwa kasi na kuathiri jamii
amemshukuru kwa ushirikiano wake katika sekta ya afya tangu awepo nchini na ameahidi kuendelea kutekeleza yale yote aliyoishauri wizara
(Picha na Wizara ya Afya)
No comments:
Post a Comment