HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 15, 2016

MKE WA WAZIRI MKUU AMSAIDIA BAISKELI YA KUTEMBELEA MLEMAVU MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama Lorand Leonard Kambangu akiendesha baiskeli ya magurudumu matatu aliyopewa na Mke wa Waziri Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye kijiji cha Nanganga wilayani Luangwa Julai 14, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad