HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 20, 2016

MAKALLA ATOA RATIBA YA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA..

NA MR.PENGO MMG
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla atoa Ratiba kamili ya kuzungumza na kutatuwa Kero za Wananchi wa Mkoa wa Mbeya ambapo,
Alhamisi Ya wiki ya Mwisho Mwezi July, Tarehe 28 Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi Jioni katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
Ratiba ya mwezi wa Nane pia Atasikiliza Kero Tarehe 4/8/2016 na Wiki ya Mwisho ni Tarehe 28/8/2016.
Mikutano yote itafanyika Ukumbi wa Mkapa wote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad