Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali, Jane Baseka aliyenufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akisalimiana na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), Deborah Kiunsi alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Pamoja naye ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Naibu Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Hinke Nauta.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kulia ni Meneja Mradi wa MKUBWA, Wanke Kinyau.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimkabidhi cheti mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuhitimu mafunzo hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa TGT, Epeineto Toroka.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimkabidhi cheti mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja na Meneja Mradi Wanke Kinyau walipomkabidhi zawadi wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo hayo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA).
Mmoja wa wageni Jane Kelly (wa tano kushoto) akiwa katika picha pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA).
Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya TGT, Olive Luena akiohojiwa na waandishi wa habari.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA). (Imeandaliwa na Robert Okanda)

No comments:
Post a Comment