HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 3, 2016

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA....

Hatimae mdau mkazi wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, amevuta rasmi jiko a.k.a mwandani wake baada ya kukaa vikao kwa muda mrefu na hatimae mambo yamejipa leo. hizi ni baadhi ya taswira mbalimbali za shamrashamra za harusi hiyo ya kukata na shoka kama uonavyo hapo juu katika taswira ikiwa ni bwana na bibi harusi wakiongoza msafara kwa kuimbiwa nyimbo kedekede za kuwapongeza wawili hao.
Dereva wa Boda boda akiwawahisha Wasindikizaji maarufu kwa jina la Wasafisha njia huku shamra shamra zikiendelea..
Mambo yamenoga barabarani.
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya karambo mkoani Rukwa wakishuhudia tukio hilo...
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG RUKWA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad