Rais wa Zanzibar na MakamU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh Jordan Rugimbana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani Dodoma sambamba na wajumbe wake asubuhi hii,kushiriki mkutano maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23,206 katika ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Thursday, July 21, 2016

Home
HABARI
SIASA
Dkt Shein na wajumbe wa visiwani watua Dodoma asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM
Dkt Shein na wajumbe wa visiwani watua Dodoma asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment