Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa GEPF, Edgar Shumbusho akimkabidhi baadhi ya
vifaa hivyo Katibu Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto Bi
Sihaba Nkinga
Katibu Mkuu Bi Sihaba Nkinga akitoa nenola shukurani kwa niaba ya wizara kwa ujumbe
kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF
Mjumbe wa Baraza la NGO Bw Ajax Diria akitoa neon la shukurani kwa niaba ya baraza
akishuhudiwa na mwenyekiti wa Baraza Bi Rukia Masasi.
Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Bw Aloyce Ntukamazina akielezea
shughuli za Mfuko na mafanikio yaliyopatikana katika sekta binafsi ikihusisha na NGO’s
kwa kipindi cha mwaka 2015/16 kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa wizara Bw Baraka
Leonard

No comments:
Post a Comment