HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 10, 2016

DEREVA MAKINI ANAIJARI KAZI YAKE....

Dereva Makini wa Tolori Maarufu Kwajina la Mkokoteni Mjini Sumbawanga Jina lake Limehifadhiwa, Ni Dereva ambae anajitahidi kujali na Kuthamini Kazi yake pindi anapo kuwa na Chombo chake kama ambavyo aonekanavyo katika Taswira hapo juu na kuwakumbusha Madereva wengine haswa Madereva wa Pikipiki kuiga Mfano wake pindi wanapo kuwa na Vyombo vyao Barabarani.
PICHA NA MR.PENGO MMG.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad