HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 6, 2016

VYA UTOTONI:BABA CHANJA NA MAMA CHANJA WAZUWA KIZAA ZAA MTAANI....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipokuwa ikikusanya Nakala za Matukio Mbalimbali Mtaani ilikumbana na Sekeseke la Mama Chanja na Baba Chanja wakirushiana Mikwaju yakina Francis Cheka kwa Chanzo ambacho kinasadikika kuwa Mama Chanja alikuwa akileta Dharau kwa Baba Chanja huyo Pichani alie rusha Teke la Jack Chan kwenye Sinema ileee....
Baba Chanja sasa katika Ubora wake Cheki tuu Mkunjo wa Ngumi utabaini Jambo Mwenyeweee..
Mama Chanja nae yumooo kujibu Mashambulizi hataki Mchezo Nae...
Mambo hayoooo...
Mpaka Ulimi nao Unapigana si Mchezo hii...
Wakielekeaa Chembaa Kumaliza Ugomvi wao mara baada ya Kufaiodisha Majirani kutazama Sinema ya Buree kabisaaa.
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad