HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 4, 2016

SHAMBA DARASA LA MAHINDI LAWAKUNA MADIWANI WA WILAYA YA SIMANJIRO

Ofisa kilimo wa halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Claudy Losiock (kulia) akizungumza juzi na baadhi ya madiwani na mkuu wa wilaya hiyo Mahmoud Kambona (kushoto) kwenye shamba lake ambalo ni darasa kwani amelima na kupanda kitaalamu.Madiwani hao walionekana kuvutiwa mno na elimu hiyo ya shamba darasa la Mahindi.(picha na woinde shizza, Simanjiro).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad