HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 30, 2016

KIJIPU UPELE....KIJIPU UPELEEE...KIJIPU UPELEEEE.

Hii tabia ya Baadhi ya Wadau pindi wanapo pata Hudhuru wa kupata Mariwato mambo huwa kama huyu Mdau Pichani alienaswa na Kamera Yetu akipata Mariwato bila kujali Eneo alilopo na kusababisha Uchafuzi wa Mazingira wengi wataona ni Jambo la kawaida kutokana na Mazoea tuliyonayo hii ni hali ya kawaida sanaTujilekebisha Wadau Wenyekipaji hiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad