HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 10, 2016

DC HAPI SALUMU ATINGA HOSPITALI YA PALESTINA-SINZA JIJINI DAR LEO.


 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akitembelea na kuwajulia hali wagonjwa katika hospitali ya Palestina-Sinza jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akionyesha kitu mbele alipotembelea Hospitali ya Palestina-Sinza jijini Dar es Saaam leo, na kujionea mambo mbalimbali katika hospitali hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akizungumza na  Hapi atinga Hospitali ya Palestina-Sinza leo ili kubaini mambo kadhaa ambayo yamemchukiza  katika hospitali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad