HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 21, 2016

MTANI NA MUHINDI WA KUCHOMA MTAANI...

Mtani wetu alinaswa na Kamera Yetu ya Mtaa Kwa Mtaa Bog akipata Ladha Maridhawa ya Muhindi alio ukamatia kisawasawa huku akitupia Punjee Moja Moja Kinywani ikiwa nimoja ya Kanuni katika ulaji wa Muhindi wa Wachoma...
Mtani taratibu tena kwa Hisia akipeleka Punje za Muhindi Kinywani huku akiwa amevunja Siti kwa kupiga Nne.
Baada ya kumaliza Muhindi wa Kwanza Mtani alisogea tena kwa Mama muuza ili apate Nakala nyingine kwa Hisani ya Mama Muuza...
Wengine wakiendelea kuchaguwa Mahindi ya Kuchoma kwa Mama muuza wa Mtaani Kwetu..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad