"Daaaaa!! Yaaniii nimezunguka Mji mzima Mpaka Njaa inauma sasa...."
"Yaaaaniiii!! Hii sasa Tabu hii naenda huku wanasema niende Moja Kwa Moja Tena kwa Mkuu wa Kitengo..."
"Mhhh!!!! Masaa Manne sasa yamepita nangoja wamalize Kikao niingie Ndani.....Duuuu!!"
"Daaaa!!! Leo nimekanyaga Pedeli Mpaka Misuri sasa inauma kila nikienda Mkuu hajafikaa Njoo baada ya Dakika 20, Mara katoka sasa hivi, Oooh Mara kaenda Kunywa Chai mhh!! sijui hata nifanyaje lakini ngoja ni komaee tuu mpaka Kieleweke..."
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment