WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SAN AA NA MICHEZO NAPE NNAUYE ATEMBELEWA NA KAIMU MKURUGENZI WA MAWASILIANO NA UHUSIANO WA VODACOM,ROSALYNN MWORIA KWA AJILI YA MAZUNGUMZO YA KIKAZI.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosallyn Mworia wakati alipotembelea Wizarani kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.
No comments:
Post a Comment