Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo. .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Mh. Jenista Mhagama wa pili kushoto akiwa katika picha ya
pamoja na Menejiment ya SSRA kushoto kwa Waziri ni Kamishana wa Kazi
Ndugu Daudi Kaale.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akieleza jambo wakati wa kikao cha pamoja na
Menejimenti ya SSRA wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la
kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.

Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akimkaribisha Mh. Jenista Mhagama, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu alipotembelea kwenye Ofisi za Mamlaka hiyo mnamo tarehe 24
February 2016, Dar es Salaam.
Menejimenti
ya SSRA wakisubiria ugeni wa Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama katika
Ofisi za Mamlaka hayo zilizopo barabara za Bagamoyo Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Mh. Jenista Mhagama akisalimia na Menejimenti ya SSRA Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka.
No comments:
Post a Comment