Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilikumbana na Taswira hizi za Wapendanao hawa katika Mchuma Mpyaa wa Aina yake uendao kwa Jina la Land Cruaser Mbonyeo wakiangazia Mitaa Mbalimbali kuajili ya kutafuta Kambi Mwanana Maalumu kwa Siku ya Wapendanao.
Kijicho cha Dereva wa Gari hiyo ya aina yake iendayo kwa Jina la Land Cruaser Mbonyeo akiangazia upande wa Pili.
#Kamerayamtaakwamtaablog.




No comments:
Post a Comment