Mkuu wa vipindi vya michezo E FM, Maulid Kitenge (kushoto) akimtambulisha mtangazaji mpya wa kike wa michezo, Tunu Hassan Shenkome. mara baada ya kufika katika ofisi za E Fm jana. Wengine pichani ni Ibrahim Masoud Maestro na Oscar Oscar.
No comments:
Post a Comment