HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 26, 2016

MGODI WA BUZWAGI WAISAIDIA MILIONI 10.5 TIMU YA AMBASSADOR FC, KAHAMA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi katibu mkuu wa Ambassador FC, Bakari Khalid kwa ajili ya maandalizi ya ligi daraja la pili mkoa wa Shinyanga. 
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi katika hafla ya makabidhiano ya hundi kwa timu ya Ambassador kwa ajili ya maandalizi ya ligi daraja la pili mkoa wa Shinyanga.
Vikosi vya timu za Buzwagi fc na Ambassador vikiwa katika maandalizi wakati wa ukaguzi kabla ya kuanza kwa mhezo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad