Mkuu wa kitengo cha masoko Bw Aloyce Ntukamazina akiwaeleza waandishi wa habari juu
ya mkataba walioingia na Bi Rose Ndauka kama balozi mpya 2016.
Balozi mpya wa Mfuko wa GEPF Rose Ndauka akitoa neno la shukurani pamoja na kuelezea
mikakati yake ya kuutangaza Mfuko wa GEPF.
Mkuu wa kitengo cha Masoko Bw Aloyce Ntukamazina na Balozi mpya wa GEPF Rose Ndauka
wakitia saini mkataba huo.
Baada ya kutia saini rasmi Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi rasmi mkataba huo tayari kwa
kuanza kazi.
No comments:
Post a Comment