HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 26, 2016

MC MKONGWE MACKIE MDACI AREJEA NCHINI, TAYARI KWA KUPIGA MZIGO.

MC- MACKIE G.MDACHI (MC-MKONGWE) Anawatakia HERI YA MWAKA MPYA 2016. Anasema amerudi nchini sasa nchini baada ya kuwa huko NEW YORK MAREKANI to9kea July 2015. Kwa wadau wa Huduma yake ya USHEREHESHAJI (MC& MUZIKI) mnaweza kuwasiliana nae kwa namba:0655-305588,0713-330330 au Email:nakasonejr@yahoo.com KARIBUNI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad