
Mkurugenzi
Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Bw.Leonard Tadeo akikagua timu ya chuo kikuu cha Dar es salaam wanaokaa Chuoni wakati wa ufunguzi wa mashindano ya
michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika
katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Bw.Leonard Tadeo akikabidhi Jezi kwa moja ya timu zinazoshiriki katika
mashindano ya michezo yanayohusisha wanafunzi
wa vyuo vikuu leo jijini Dar es Salaam.Wa
kwanza kulia kwake ni mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Dar es
Salaam Bw.Imani Matabula.
Mwenyekiti wa
shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula(aliyesimama)
akimkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kutoka Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard Tadeo(kushoto) wakati wa
ufunguzi wa mashindano ya michezo
ya vyuo vikuu yanayofanyika katika
viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam. Picha na Daudi
Manongi-WHUSM
No comments:
Post a Comment