HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 5, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI ZA KATIKATI YA MJI WA GEITA

Hivi ndivyo mbambo yalivyochangamka maeneo ya katikati ya Mji wa Geita kama ulivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
Hapa nikipiga stori na jamaa yangu nilikutana nae nikiwa katika harakati za Mtaa kwa Mtaa huku Mjini Geita, nikiwa na usafiri pendwa.
Baadhi ya wakazi wa Geita wakitumia vyema eneo la Kivuko cha waenda kwa miguu.
Usafiri wa Baiskeli ndio unaotumiwa sana kwa kupatika Abiria kuku Geita.
Mama akipelekea Mkaa nyumbani.
Mafundi wakiendelea na kazi.
Hii ndio njia kuu ya kuelekea Bukoba.
Geita mambo mswano sana.
Usafirishaji wa vitu.
Chandimu kikipigwa kando ya kiota cha vilaji.

Maziwa freshiiiii....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad