HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 8, 2016

JISHIKILIE MWENZAKO SINA BODI MIEE...

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog iliinasa Taswira hii ya Kipando kikiwa katika Moja ya Barabara huku kikiwa kimepakia Mzigo sambamba na wenye Mzigo wakiwa katika Staili ya  Jishikilie mwenzako sina Bodi..
Mzigo na wenye Mzigo wakiwa wamekumbatiana kisawasawa nyuma ya Kipando hicho,,,
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad