Kamera yetu leo imeinasa taswira hii ya Katapila likifanya utaalam wake wa kuchonga eneo la kiwanja ambacho ujenzi wake wa utangulizi ulikuwa na choo cha nje, huko Mbezi Goba jijini Dar.

Ujenzi wa Nyumba uliotukuka wa mita sifuri nukta tano moja.
Hapo ni wewe tu, upite kulia au kushoto.
No comments:
Post a Comment