HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 4, 2016

GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR

Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi mlezi wa kituo hicho Sr Restituta Kijja sehemu ya msaada huo.
Meneja Mafao wa Mfuko wa GEPF Bi Salma Mtaulah nae akimkabidhi Mlezi wa kituo mafuta ya kupikia.
maafisa wa GEPF pamoja na mlezi wa kituo wakifurahia jambo na watoto wa kijiji cha Furaha kilichopo Mbweni.
baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa katika picha ya pamoja kwa furaha baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula na Mfuko wa GEPF.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad