HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 2, 2015

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO

SIMU.TV:  Serikali kumaliza tatizo la maji Makunduchi, TRA yanasa makontena uchochoroni. Ukitupa taka Dar faini 50,000/ SIMU.TV:  Rais Magufuli ajadiliwa kila kona ya dunia, asaka vinara ufisadi wa mabilioni. David Kafulila aruka kihunzi Mahakama Kuu;  https://youtu.be/H6iRutZCTIE
SIMU.TV:  Bosi TRA atajwa ufisadi mabilioni. Presha juu wafanyakazi 13,000 mashirika manne.Wakazi Buguruni hatarini kukumbwa na mafuriko; https://youtu.be/Z5zG9Q970uU 
SIMU.TV:   AZAM, Simba zauziana Majwega kiaina. Coutinho aipasua kichwa Yanga. Kamusoko afanya mambo ya Messi; https://youtu.be/ZWen_Bemf1k 
SIMU.TV:  Mrema asema hajutii kumnadi Magufuli. Kampuni ya EGMA kufanyiwa uchunguzi wa ndani.Serikali ya Tanzania kurejeshewa dola Milioni 7; https://youtu.be/jtexKsLhSRs

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad