HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 1, 2015

FEDHA ZA DISEMBA9, MWAKA HUU KUPANUA WA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR





Scaveter ikisafisha sehemu ya barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco kwaajili ya upanuzi wa barabara mbili zinazojengwa kwa fedha ambazo zilitakiwa kutumika katika sherehe za uhuru ambazo hufanyika kila mwaka Disemba 9 ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo jijini Dar es Salaam.
Vijana wakigombania bango ambalo limevunjwa katika upanuzi wa barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco leo jijini Dar es Salaam.

(Picha na Emmanul Massaka wa Globu ya jamii).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad