HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 27, 2015

Makumbusho ya Taifa yazindua maonyesho ya picha za matukio yanayohusu Albino nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Profesa Audax Mabulla (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Under The Same Sun Bw. Peter Ash, Mwakilishi wa Benki ya Dunia Dkt. Yutaka Yoshino wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maonyesho ya Picha za matukio ya watu wa jamii ya Albino zilizo pigwa katika kambi ya kuwahudumia Albino ya Kabanga.
Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Profesa Audax Mabulla (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Under The Same Sun Bw. Peter Ash, Mwakilishi wa Benki ya Dunia Dkt. Yutaka Yoshino wakifurahia mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maonyesho ya Picha za matukio ya watu wa jamii ya Albino zilizopigwa katika kambi ya kuwahudumia Albino ya Kabanga.
Mratibu wa Maonyesho ya Picha za Alibino kutoka Makumbusho ya Taifa Bibi. Flora Vicent akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho hayo jana jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo yanafanyika kuanzia tarehe 26 Novemba 2015 hadi tarehe 26 Januari 2016.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu akifuatilia maelekezo ya Picha wakati hafla ya uzinduzi wa mmaonyesho ya picha maonyesho ya Picha za matukio ya watu wa jamii ya Albino zilizopigwa katika kambi ya kuwahudumia Albino ya Kabanga.

Wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad