HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2015

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

                        


SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea  ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya mageti mia Adon lodge. Wakazi wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku  wakifurahia burudani ya pamoja.

Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.

Tangu kuanza kwa mechi hizi hii ni mara ya pili kwa 93.7 EFM kufungwa,mara ya kwanza ilifungwa bao mbili na buffalo fc ya kisarawe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad