HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 3, 2015

LOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA MJINI BABATI, MANYATA

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Mkoani Manyara leo Oktoba 2, 2015. 
 Waziri Mkuu wa zamani ambaye ni Mwanamabadiliko, Mh. Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Mkoani Manyara leo Oktoba 2, 2015.










Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Monduli wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 2, 2015.



 











































No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad