HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 26, 2015

UZINDUZI WA ALBAMU YA ZAX 4REAL IENDAYO KWA JINA LA "PUNGUZA HASIRA" ULIVYO FANA JIJINI MBEYA....


Mwana Muziki wa Kizazi Kipya toka Nyanda za Juu Kusini Zax 4Real akitumbuiza katika hafra yake ya Uzinduzi wa Albamu yake iendayo kwa Jina la "Punguza Hasira" Uzinduzi ulio fanyika Tar,25-09-2015 katika Ukumbi wa Hope Ville Soweto Jijini Mbeya. Mwana Muziki wa Muziki wa Kizazi Kipya anae fanya vizuri sana katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya Nyanda za Juu Kusini Zax 4Real akipagawisha baadhi ya Mashabiki walio hudhuria katika Hafla hiyo ya Uzinduzi wa Albamu ya "Punguza Hasira" ulio fanyika katika Ukumbi wa Hope Ville Soweto Jijini Mbeya. Bwana Zax 4Real akipokea Zawadi nono toka kwa waubani wake Nyonga mkalia Ini Jina lake Kapuni ni Busu lenye Bashasha kama lionekanavyo hapo katika Taswirazz.
PICHA ZOTE NA FADHIRI ATICK-MR.PENGO MBEYA.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad