HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 26, 2015

MTOTO AFARIKI KWA AJALI ENEO LAO UYOLE YA KATI JIJINI MBEYA..

Mtoto mwenye Umri usio zidi Miaka 16 hakuweza fahamika kwa Majina napoteza Maisha mara baada ya kugongwa na Gari Eneo la Uyole ya Kati Jijini Mbeya, wakati alipo kuwa akivuka Bara Bara kuelekea upande wa pili Ghafra zikasikika Breki za Gari aina ya Prado yenye Nambari za Usajiri {T807,DCA} na kupelekea Umauti kwa Kijana huyo hapo hapo.
Baadhi ya mashuhuda na Wakazi wa Uyole wakiwa katika tukio.
Gari lililo mgonga Mtoto huyo..
Eneo la Tukio likiwa limezungukwa na Wananchi wa UYole ya kati..
PICHA NA FADHIRI ATICK-MR.PENGO MBEYA
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad